
BAADHI YA TOFAUTI ZA SANAA ZA WASUKUMA NA WAHAYA. Mila na desituri Kati ya wahaya na wasukuma utofautiana katika mambo mbali mbali lakini sanasana nagusia katika Sanaa Kama ifuatavyo. Wasukuma katika Sanaa zao sanasana upenda kutumia nyoka katika Sanaa zao ambapo nyoka ni kivutio Cha aina yake kwenye ngoma za kisukuma kituo Cha kuifathi utamaduni Cha Bujora mkoa was mwanza kasikazini magharibi mwa Tanzania kina jumla ya chatu watano ambao utumika katika ngoma za jadi. Mfano Methodi Emmanuel amwkua mfugaji wa nyoka katika kituo hiki. Mfano picha apa chini inaonesha Mwana Sanaa akicheza Kama ifuatavyo, Pia unaweza kuona vidio ya wasukuma Apo juu inayo onesha ujasili wa Musukuma njinsi anavyo weza kumia nyoka katika Sanaa yake ya muziki aina ya ngoma. Wahaya katika suala la Mila na desituri wenyewe wametofautiana Sana na wasukuma katika mambo mbalimbali mfano katika ubatizaji wa majina ya watoto mfano wahaya pindi mtoto was Kwanza akiz...