BAADHI YA TOFAUTI ZA
SANAA ZA WASUKUMA
NA WAHAYA.


Mila na desituri Kati ya wahaya na wasukuma utofautiana katika mambo mbali mbali  lakini sanasana nagusia katika Sanaa Kama ifuatavyo.

Wasukuma katika Sanaa zao sanasana upenda kutumia nyoka katika Sanaa zao ambapo nyoka ni kivutio Cha aina yake kwenye ngoma za kisukuma kituo Cha kuifathi utamaduni Cha Bujora mkoa was mwanza kasikazini magharibi mwa Tanzania kina jumla ya chatu watano ambao utumika katika ngoma za jadi. Mfano Methodi Emmanuel amwkua mfugaji wa nyoka katika kituo hiki. Mfano picha apa chini inaonesha Mwana Sanaa akicheza Kama ifuatavyo,

  • Pia unaweza kuona vidio ya wasukuma Apo juu inayo onesha ujasili wa Musukuma njinsi anavyo weza kumia nyoka katika      Sanaa yake ya muziki aina ya ngoma.


  • Wahaya katika suala la Mila na desituri wenyewe wametofautiana Sana na wasukuma katika mambo mbalimbali mfano katika ubatizaji wa majina ya watoto mfano wahaya pindi mtoto was Kwanza akizaliwa waga kuna majina maalum ya kuwaita mfano wa wajina Hayo ni Kokubanza, Keirembo, Baijambele ayo ni baadhi ya majina ya wasichana kwa upande wavulana upenda kuwaita Kalumna, Lubazibwa, Mwombeki N.k. pia ulifatilia pale Wahaya wapatapo mapacha upenda kuwaita majina tofauti na majina ya kawaida Mfano Mapacha wa kiume uzaliwapo uitwa Kakuru(Pacha mkubwa) Kati(Pacha mdogo) Hi uonesha utofautiana wa watoto wao kwa upande was wasichana upenda kuwaita Nyangoma(Pacha mkubwa) Nyakato ( Pacha mdogo). Pia katika suala Zama la Sanaa wahaya ucheza ngoma zao kwa kuimba lugha yao uku wakiwa na furaha tele pia Wahaya waga lugha yao uwafanya watambulike mapema pindi waongeapo na watu wa tamaduni nyingine hii waga ni kwa sababu ya lugha mama yao. Zifuatazo ni picha na vidio zinazoonesha Mapacha,Ngoma , na ucheshi wa wahaya Kama ifuatavyo


Hizo ni baadhi ya tofauti Kati ya Sanaa za Wahaya na Wasukuma.
    
         Kwa ujuzi zaidi wakujua tamaduni mbalili usichoke kutembelea blog yangu hiitwayo,,,,,
    
  Zetutamaduni.
   Kwa mawasiliano zaidi piga sim No,
        0752287990.
Tovuti, munyagievidence28@gmai.

Comments

Popular posts from this blog