UTAMADUNI.
Utamaduni: ni jinsi binadamu anavyo kabiria maisha nayo mzunguka kwenye jamii husika mfano. Ujuzi,Imani, Sanaa,Maadili,sheria na desituri.
-Maadili: Jinsi watu wanavyo heshimiana kwenye jamii husika kwa kufuata umuli wa watu mbalimbali kwenye jamii Fulani mfano baadhi ya jamii za kiafrika sanasana Tanzania mfano jamii ya Kihaya watu wa jamii iyo wame zoea kufatana na tamaduni zao kusalimiana kwa kuinama na pia upiga magoti pindi Mdogo avyokua akitoa salaam kwa mkubwa wake. Hi uonesha thamani ya mtu kwenye jamii husika. Pia baadhi ya tamaduni nyingine usisitiza katika uvaaji mfano tamaduni za kimasai watu husitili mihili yao vizuri nakuweza kuleta heshi katika jamii.
Ilikuendelea kufurahia Tamaduni zetu endelea kufutilia blog yangu hiitwayo
Zetutamaduni.
Utamaduni: ni jinsi binadamu anavyo kabiria maisha nayo mzunguka kwenye jamii husika mfano. Ujuzi,Imani, Sanaa,Maadili,sheria na desituri.
-Sanaa: katika tamaduni nyingi za kiafirika Sanaa uwa ni sehemu ya tamaduni yao watu wanaweza kutoa yaliomo ndani na nje ya uwezo wao iIi kuweza kufurahisha jamii pia na kufundisha jamii. Mfano jamii ya wamasai sanasana wao ni wazuri wa kutengeneza vitu mbalimbali ambavyo vinaweza kuwaingizia kipato. mfano jamii yao wanatengeneza viatu vya asili, Mikanda itokanayo na ngozi za wanyama,vyungu vya kupikia ambavyo uwaingizia kipato kwenye jamii yao. Vilevile wakina Mama ambao ujishughurisha na ususi Mfano kwenye jamii ya Kihaya wanawake ujishughurisha na ususi kwa maana ya kutengeneza mikeka,vyungu, ambavyo uwasaidia kuwaingizia kipato kwenye jamii husika.
- Imani: Imani kwenye jamii ni mojawapo ya kiungo Cha utamaduni. Imani Jinsi jami fulani ivyo imani katika kuabudu au kuamini kitu Fulani. Mfano kabla ya waingereza na Wamisionali awajaja Afrika kuleta dini na mambo mengine walikuta jamii Zina Imani zake apa nchini.Mfano Historian inavyo onesha watu walikua wakiamini Mizim. Hi inaonesha kwamba kumbe tamaduni zilikua zikiamini katika imani Fulani hi inaonesha kua kumbe na imani ni kiungo Cha utamaduni.
-Hizi ni baadhi ya mihimili ya utamaduni ambavyo mtu anajipatia Kama mwana Jamii Kama sifa mihimu za mwanadam zinazo mtafautisha na wanyama.
Vilevile utamaduni ni swala la msingi lakini unabadilika balika kulingana na mambo mbalimbali Kama ifuatavyo
-Kubadilika kwa Teknoloji a: mambo siku hizi yamebadilika Sana kulingasha na zamani siku hizi Kuna baadhi ya mambo yameletwa ambayo ata zamani ayakuwepo mfano ujio wa mitandao ya kijamii mfano Facebook, instagrsm, ambavyo utoa habari za mambo mbalimbali mfano uvaaji wa watu wa kabila na tamaduni fulani yapo wekwa kwenye mtandao na mtu was jamii fulani akayaona pia watu wengi baada ya kuona upenda kujaribu kuyafanya ambayo hii hupelekea kudumaa kwa tamaduni fulani ipo mifano mingi lakini huu ni baadhi ya mfano unao tupa picha kuwa na mitandao inachangia kudumaza tamaduni zetu.
-Muingiliano wa watu mbalimbali kutoka nchi zenye makabila mbalimbali zenye tamaduni tofauti. Mfano watu wanatoka nchi mbalimbali kuja kwenye jamii fulani yenye tamaduni tofauti na tamaduni za watu wanao wakuta kwenye jamii husika watu Hawa pindi waingiapo kwenye jamii fulani watu wa jamii iyo upenda baadhi ya mambo yao wanayo yafanya mfano uvaaji,uongeaji pindi watu ubadilishapo mambo hayo tiari utamaduni uo unakufa kwaiyo watu uacha Mila na desituri zao nakuweza kuiga tamaduni nyingine tofauti na wao. Usisahau kusikiliza muziki wa tamaduni wa nje ya inchi Kisha linganisha na Tamaduni zetu.
Zifuatazo ni baadhi ya santuri za tamaduni mbalimbali tofauti na za Kitanzania Kama ifuatavyo.
Zifuatazo ni baadhi ya santuri za tamaduni mbalimbali tofauti na za Kitanzania Kama ifuatavyo.
Ilikuendelea kufurahia Tamaduni zetu endelea kufutilia blog yangu hiitwayo
Zetutamaduni.
Ahsante kaka
ReplyDeleteTanks friend
DeleteUko vizuri kaka
ReplyDeletePiga tizi tutakuajiri kwenye kampuni yetu hahaha
Santee Sana kaka angu ntashukuru sana
DeleteBy Felix
ReplyDeleteTanks a lot
Delete